Vyakula 10 Asili Vya Kukusadidia Kudumu Kitandani Muda Mrefu Zaidi

Vyakula 10 Asili Vya Kukusadidia Kudumu Kitandani Muda Mrefu Zaidi

Kutosheleza hamu yake ya ngono sio jambo la kujadiliana.

Je, ungependa kujua vyakula vya kudumu kitandani zaidi vilivyo asili? Soma zaidi ujue jinsi ya kuwa mchumba bora zaidi!

Kutosheka kimapenzi ni muhimu ili kuwa na uhusiano wenye afya na furaha. Mwanamme alisema kuwa kula makalio ya mnyama kutakusaidia kuongeza hamu yako ya ngono. Wiki mbili kabla ya bibi yake kurudi kutoka ziara nchi za ugenini, akala makalio ya mbuzi. Siku ambayo bibi yake alifika, hangeenda zaidi ya mara moja baada ya kuanza.

Lazima uwe mwanamme yule. Kuna aina nyingi ya vyakula asili ambavyo vitakusaidia kudumu zaidi kitandani.

Baadhi ya vyakula vya kudumu kitandani zaidi

Vyakula asili vinavyo kusaidia kudumu zaidi kitandani kwa mara nyingi huwa matunda na mboga. Unapaswa kuhakikisha kuwa unakula lishe iliyo na wingi wa vyakula hivi!

Hivi ni vyakula asili vya kula iwapo unataka kudumu kitandani zaidi:

Mandizi
fruits to make you last longer in bed

shukrani : Pixabay

Ndizi ni hiari nzuri ya kudumisha waume kitandani. Kula ndizi kwa wingi kuhakikisha kuwa una dumu muda mrefu kitandani.

Kitunguu saumu
vyakula vya kudumu kitandani

Tupilia mbali harufu yake kali, kitunguu saumu ni chakula kizuri! Ina fanya damu iwe nyembamba na iwapo ungependa kuimarisha hamu yako ya kufanya mapenzi, kitunguu saumu kinaweza saidia.

Maziwa ya bururu
fruits to make you last longer in bed

shukrani kwa : Pixabay

Hii ni bora zaidi kwa wanadada. Maziwa ya bururu husaidia kusawasisha pH ya uke, kwa hivyo iongeze kwenye lishe yako iwapo ungependa kuimarisha maisha yako ya ngono.

Parachichi

vyakula vya kudumu kitandani

Parachichi zinakupatia nishati kufanya kitu chochote hata ngono. Hili ni tunda lililo na wingi wa folic acid. Mchicha una wingi wa magnesium inayo saidia katika kupanua mishipa ya damu na kukubalisha mzunguko wa damu kwa urahisi mwilini kote hata kwa kibofu chako.

Tikiti
vyakula vya kudumu kitandani

shukrani kwa: Pixabay

Kama vile mchicha, tikiti pia zinasaidia kupumzisha misuli ya damu na kuongeza hamu ya ngono. Nyama yenye afya inasaidia kuimarisha mzunguko wa damu hasa nyama ya ng’ombe, kuku na nguruwe. Ongezeko katika mzunguko wa damu huongeza hamu ya kufanya mapenzi.

Njugu ni chakula asili ambacho kitakusaidia kudumu zaidi kitandani

natural foods to boost your libido

Njugu zina wingi wa zinc, kuna aina nyingi za njugu ambazo zinaweza kusaidia badala ya kula vitamu tamu kama vile:

  • walnuts
  • hazelnuts
  • peanuts
Mayai

vyakula vya kudumu kitandani

Kama nyama nyekundu, mayai huwa chanzo kikuu cha cholesterol na vitamini D. Ambayo ni muhimu katika kusawasisha viwango vya kalisi na kutoa viwango vingi vya testosterone kwa sababu zinasaidia na ukuaji wa misuli.

Tufaha

vyakula vya kudumu kitandani

Tufaha kila siku humweka daktari mbali na huenda ika imairisha maisha yako ya kingono. Tufaha pamoja na berries, cherrie, kitunguu na tende zina wingi wa quercetin. Ambayo ni muhimu katika kuimarisha mzunguko.

Divai nyekundu
narural foods to help you last longer in bed

Glasi ya divei nyekundu huenda ikawasaidia wanawake kuwa na hamu ya mapenzi. Utafiti ulionyesha kuwa glasi mbili ama moja kwa siku huongeza hamu ya mapenzi. Ina quercetin ambayo hu husishwa na utafiti huu. Ila kunywa viwango vingi huleta matokeo tofauti.

Nyama

narural foods to help you last longer in bed

Nyama ya ng’ombe, kuku na nguruwe zina carnitine, L-arginine na zinc. Carnitine na L-arginine ni amino acids zinazo boresha mzunguko wa damu. Mzunguko mwema wa damu ni lazima ili kuwa na kipindi chema cha kufanya mapenzi kwa wake na waume.

 Sio kuhusu kula vyakula vya kudumu kitandani tu. Hapa kuna vidokezo zaidi

Mbali na kula vyakula asili kukusaidia kudumu kitandani, kuna vitu vingine unaweza fanya kukusaidia kuwa stadi kitandani.

Una hamu?

Lazima ujiweke katika hali ya ngono, la si hivyo, haijalishi kile ambacho mchumba wako atafanya kwani hakitakupendeza na hautadumu kitandani.

Kupendezana kabla ya tendo kuu

Kufanya mapenzi huanza kutoka kwa hamu na kujaribiana kabla ya tendo kuu. Kupendezana kwanza kunaweza refusha ngono na kukusaidia kuwa kudumu muda mrefu kitandani. Cha muhimu zaidi ni kugundua kitu ambacho mchumba wako anapenda na kukifanya kwa ustadi. Unapo msaidia mchumba wako kufika kilele, hakuna atakaye akiangalia saa kuona muda mlio tumia.

Matibabu

Hii sio haja ya makala haya, kama tungependa kukujulisha kuhusu matunda asili ya kukusaidia kudumu muda mrefu kitandani. Matibabu yanapaswa kuchukuliwa kama hiari ya mwisho wakati ambapo hiari zingine zote zimefeli.

Polepole hushinda vita

Kuongea kinaga ubaga, ngono inahitaji viwango vya juu vya nishati. Ifurahie, usiikimbilie kumaliza. Weka nishati katika kila mguso na busu.

Kujifurahisha mwenyewe

Hiari isiyo sifika na wengi: Kujifurahisha mwenyewe kunaweza kusaidia kuwa na wakati zaidi. Ili kuwa na hamu ya ngono, unaweza jifurahisha mwenyewe kwanza kabla afike. Itakuanzishia na pia kutoa haja ya hivi sasa.

Kula vyakula asili ambavyo vinakusaidia kudumu kitandani

Vyakula vinavyo faa vitakusaidia kudumu muda zaidi unapokuwa katika shughuli zako za kitandani. Kwa bahati nzuri, utapiku rekodi yako mwenyewe. Lishe inaweza kusaidia kudumu zaidi unapokuwa kitandani.

 Vyakula Asili Ambavyo Vina Kusaidia Kudumu Kitandani Havitafanya Kazi Hadi Pale Ambapo Utawachana Na Tabia Hizi

1. Fikira nyingi za kifizikia na hisia ama maradhi

Watu hawadumu kitandani kwa sababu ya vitu kama fikira nyingi, kufilisika, kukosa nguvu, afya mbaya, kukosa usawa wa homoni na sababu zingine nyingi. Iwapo haudumu muda mrefu kitandani, na huchukui muda wako kula vyakula asili kukusaidia katika tatizo lako, hali yako haita imarika.

2. Vileo

Je, ulifahamu kuwa pombe nyingi haikusaidii kufanya mapenzi kwa muda mrefu? Cha kuhuzunisha ni kuwa watu wengi wanaamini kuwa ukilewa, unaweza fanya mapenzi usiku wote. Cha kwanza, kwa sababu wamelewa na wamechoka, uwezekano wa kudumu kitandani unakuwa mdogo. Pia, kwa muda mrefu, hamu yao ya kufanya mapenzi na kudumu kwa muda mrefu hupunguka.

Kitu ambacho vyakula hivi hufanya ni kutuliza akili yako, kufungua mishipa yako na ku usaidia mwili wako kufanya kazi ipasavyo. Vyakula hivi hutuliza mwili wako na kuimarisha mzunguko wa damu, na ni muhimu sana katika kupata hamu ya mapenzi. Cha muhimu zaidi, vyakula hivi asili vitakusaidia kudumu kwa muda mrefu kitandani na kuimarisha afya yako.

Kuwa huru kuongeza vyakula hivi kwenye ratiba yako ya lishe.

Kumbukumbu: U.S Food and Drug Administration

Soma pia:The All-New List Of Best Fertility Foods For Women And Men

Written by

Risper Nyakio